Privacy
Hapa tunaeleza kwa lugha rahisi taarifa tunazochukua, tunazitumiaje na tunazilindaje ukiwa unatumia Kuza Akaunti.
Taarifa Tunazochukua
01Ukijisajili tunaweza kuchukua jina, email na namba ya simu. Pia tunaweka kumbukumbu za wallet, malipo, order zako, link ulizoweka na matumizi ya app ili huduma zifanye kazi vizuri.
Tunazitumiaje
02Tunatumia taarifa zako kufungua account, kuweka salio kwenye wallet, kupeleka order, kuonyesha status, kutoa support na kuboresha app. Hatutumii taarifa zako kuuza data zako.
Taarifa Zinahifadhiwa Wapi
03Taarifa zinahifadhiwa kwenye database na mifumo tunayojenga kwa ajili ya Kuza Akaunti. Kumbukumbu za malipo na order zinaweza kubaki ili tukusaidie ukileta malalamiko au ukitaka historia.
Usalama wa Account
04Login inalindwa na mfumo wa authentication. Hatukuombi password za TikTok, Instagram, YouTube, Facebook au platform nyingine. Kwa order nyingi tunahitaji link au username tu.
Tunashare na Nani
05Tunaweza kushare taarifa zinazohitajika tu na payment au service providers ili payment na order vikamilike. Mfano: namba ya simu kwa malipo, au link ya post/account kwa provider wa service.
Haki Zako
06Unaweza kuomba kuona, kurekebisha au kufuta taarifa zako kwa kuwasiliana na support. Baadhi ya transaction records zinaweza kubaki kwa sababu za usalama, malipo au sheria.
Muda wa Kuhifadhi
07Tunahifadhi taarifa zako wakati account yako inatumika. Ukihitaji kufuta account, tuandikie support tuangalie kinachoweza kufutwa na kinachotakiwa kubaki kwa record za malipo au order.
Mabadiliko ya Privacy
08Tunaweza kubadilisha privacy hii app inapokua au services zikiongezeka. Tutaweka version mpya hapa ili uweze kusoma muda wowote.
Una swali kuhusu data zako? Wasiliana nasi
